Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele akizungumza wakati akiongoza kikao cha pamoja baina ya INEC na Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) kilichokutana leo Julai 19,2025 katika Ofisi za ZEC Mjini Unguja Zanzibar. Kulia Mwenyekiti mwenza ambaye pia ni Mwebnyekiti wa ZEC, Mhe. Jaji George Joseph Kazi. Kikao hicho ni chakawaida kwa Tume hizo katika kudumisha mashirikiano ya pande zote mbili wakati huu wa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025. (Picha na INEC).
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele akiwa na Mwenyekiti Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Mhe. Jaji George Joseph Kazi (kushoto) wakijadiliana jambo wakati wakiongoza kikao cha pamoja baina ya INEC na ZEC leo Julai 19,2025 katika Ofisi za ZEC Mjini Unguja Zanzibar. Kikao hicho ni chakawaida kwa Tume hizo katika kudumisha mashirikiano ya pande zote mbili wakati huu wa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025. (Picha na INEC).
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele akizungumza wakati akiongoza kikao cha pamoja baina ya INEC na Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) kilichokutana leo Julai 19,2025 katika Ofisi za ZEC Mjini Unguja Zanzibar. Katikati ni Mwenyekiti mwenza ambaye pia ni Mwebnyekiti wa ZEC, Mhe. Jaji George Joseph Kazi na kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa ZEC, Mhe. Jaji Aziza Suwedi. Kikao hicho ni chakawaida kwa Tume hizo katika kudumisha mashirikiano ya pande zote mbili wakati huu wa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025. (Picha na INEC).