Yanga Africa sio tu wanaongeza Technicall Quality wanaendelea Kupunguza pia Umri wa Midfield Yao Kuelekea Msimu Mpya..
Out Khalid Aucho (32) In Moussa Balla Conte (21)
Out Chama Clatous (34) In Allasine Kouma (21)
Wanaendelea Kumuongezea Roman Folz (35) Vijana wenye Uchu Mkubwa wa Kufanikiwa Lakini ni rahisi Kuwa Manage.
Wameongeza pia height ya hii Midfield,moja ya Silaha nzuri sana wakati unasaka Mafanikio CAF.Wote wapo Kwenye Futi 6..
Jamani hawa watu hawataki tena vibabu, msimu ujao ni Mwendo tu na Vitoto vya 2000.
Amendika Wilson Oruma (Mzee wa Jambia)