Kitu cha muhimu ambacho Yanga wamekifanya ni kuwabakisha hii miamba ndani ya timu yao ….. Huu utatu ulikuwa kiungo muhimu kwenye Engine ya Yanga .
Uwezo wa kupata kwenye msimu mzima ( sio Injury prone ) Energy yao kiwanjani umekuwa muhimili wa Yanga kupora mipira pale Wakipoteza umiliki then wazuri kufanya runs kushambulia box la mpinzani .
Muda na Abuya kwenye kiungo walionesha Comb nzuri sana kwenye michezo miwili ya mwisho ya NBCPL ✅ Pressjng , Runner then physicality yao 🔥
Maxi Nzegeli Mpia mzuri kutokea pembeni , dribbler mzuri + ubora wa kuweka presha kwenye mpira 🔥
Kwenye List yangu ya wachezaji bora uwezi kuwakosa ( Mudathir & Maxi Nzegeli ✅