Sema sishangai, kama waliletewa Manzoki kwenye mkutano mkuu na wakashangilia wakiamini watamsaini, kama walishadanganywa kuletewa Ibenge kama kocha mkuu naye akaletwa kwenye mkutano mkuu wakaamini, siwezi kushangaa hata hili linaloendelea, jamani Hakuna hiyo deal, ni HAKUNA, hisia zenu zinachezewa vile vile hakuna hiyo deal!
FEISAL AKICHEZA SIMBA MSIMU UJAO MJEMCHOME NYUMBA YANGU