NEO MAEMA NI MNYAMA ๐ฆ
Akizungumza na Kituo cha SABC Sports, Steve Kapeluschnik ambae ni Wakala wa Nyota Neo Maema raia wa Afrika Kusini, alinukuliwa akisema:
โTumekuwa na ofa kadhaa kutoka timu za hapa hapa Afrika kusini zikimuhitaji Neo, ni ofa nzuri kwa mchezaji mzuri, lakini tumeingia makubaliano ya mkopo na klabu ya Simba kwa sababu inampa Neo fursa ya kucheza timu ambayo inapambania Ubingwa wa Ligi na pia ipo Kwenye michuano ya CAF.”
๐ฃ๏ธSteve Kapeluschnik- Wakala wa Neo Maema.
โย







