Yanga walijibu kuhusu milioni 100 kwa CCM, sasa wanacheza “katikati ya msitu”, post wameshaifuta! Hii ni kama kusema, “Tumesema, lakini tumesahau”. 🤷♂️
Wanaharakati nao wanatumia hili kama gepu zuri la kuendelea kupiga Yanga SPANA kwa @fifa !!💀
Kuna namna kama Yanga wanaenda mbele na kurudi nyuma, hawajiami kabisa kwa maamuzi wanayoyatoa!!