Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya 🇰🇪Kenya Benni McCarthy anaamini kundi A ndio lilikuwa kundi la kifo, na katika kuthibitisha hilo, 🇹🇿Tanzania itasimulia baada ya mchezo dhidi ya 🇲🇦Morocco.
” Tanzania watapata kile tulichokipata sisi kwenye kundi la kifo, nahitaji majibu baada ya mchezo wao.”
Benni McCarthy, Kocha mkuu wa Harambee Stars.