Klabu ya Simba Sc imeibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya klabu ya Al Zulfi Fc inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza nchini Saudi Arabia kwenye mchezo wa kirafiki wa maandalizi ya msimu mpya wa 2025/26 huko Cairo, Egypt
FT: Simba Sc 🇹🇿 1-0 🇸🇦 Al Zulfi
⚽ 24’ Ahoua