Hiki ndicho kikosi bora cha Msimu huu katika michuano ya CHAN kwa mujibu wa Sofascore kulingana na viwango vyao walivyovionesha katika michuano hiyo.
Tanzania imetoa mchezaji mmoja ambaye ni Ibrahim Hamadi Bacca, beki wa kati wa taifa stars na klabu ya Yanga SC.
Tanzania inacho cha kujivunia katika hili.
Hongera Tanzania, Hongera Bacca