Inaelezwa Simba SC pia imefikiria kwamba matokeo ya mchezo huo ikitokea hayatokuwa kwenye upande wao (kufungwa) huenda ikawasumbua kisaikolojia kuelekea mchezo wenye maslahi ya kitaifa wa kuwania kufuzu makundi CAFCL.
Simba pia wamedai hiyo ratiba iliyobadilika imebadilika wakati ambao wanazo program nyingine za maandalizi kwani ratiba ya awali TFF ilionesha michezo ya Ngao ya Jamii ni Septemba 11-14, 2025.
Simba wana hoja au hawana?