Fadlu alisema anataka viongozi wamuongezee mchezaji mwenye X-factor kwenye eneo la mwisho,ambae anaweza kuamua mechi kubwa watu wakamuona kichaa.
Leo tena Mpanzu anathibitisha kuwa Siyo mchezaji wa mechi kubwa,sikumbuki Lini kawaka na kuamuwa mechi kubwa.
Poor performance Leo kutoka kwake.