Kipindi cha pili Kibisawala alikuwa na “eye-catching performance” alimtesa sana Fullback wa kulia wa Fountain Gate,muda wote alitumia kasi Yake,ujuzi na nguvu kuingia kwenye box na kupiga cross.
Simba walipo hitaji utelezi na ubunifu kwenye robo tatu ya mwisho miguu ya Mpanzu iliongea sana.
Good game kutoka kwa Kibisawala🔥