UPDATE: Hadi sasa Yanga hawajafikiria kuachana na Romain Folz.
Yanga wanaamini bado ni mapema sana na kocha huyo anahitaji muda ili kuweka mambo sawa.
Yanga wanazidi kumpa full support kocha Folz unless mambo yabadilike huko mbeleni.