Katika kuendelea kuboresha huduma na kuwapa wateja wake uzoefu bora wa kubashiri popote walipo, Meridianbet inakuletea promosheni kabambe: “Pakua App Yetu & Ushinde” ambapo wateja wapya wanaweza kujishindia Bonasi hadi TZS 10,000 kwa tiketi yao ya kwanza kupitia app!
Hii ni nafasi ya kipekee kwa kila mtumiaji mpya wa app ya Meridianbet kuanza safari ya ushindi kwa mtindo tofauti – hata kama tiketi ya kwanza itapotea!
Jinsi ya Kushiriki: Rahisi Sana!
Pakua Programu Yetu ya Meridianbet App inapatikana kwa watumiaji wa Android, Huawei, na iOS. Pakua kupitia tovuti yetu rasmi au duka la simu lako.
Weka Dau la Kwanza Kupitia App. Chagua tukio lolote kutoka kwenye michezo mbalimbali, weka dau lako kupitia app.
Pata Bonasi hadi TZS 10,000. Iwapo tiketi yako ya kwanza itapotea, utapokea marejesho ya bonasi hadi kufikia TZS 10,000 – ni zawadi ya kuanza safari yako ya ubashiri!
Kumbuka:
- Ofa hii ni maalum kwa wateja wapya waliopakua app kwa mara ya kwanza.
- Dau lolote linaweza kukupa bonasi – hakuna kiwango cha chini cha kuweka.
- Tiketi iliyowekwa lazima iwe ya michezo kupitia app mpya iliyopakuliwa.
Kwa Nini Upakue App ya Meridianbet?
Ubashiri wa haraka na rahisi popote ulipo
Michezo mingi na odds kubwa
Matukio ya moja kwa moja (live betting)
Bonasi na promosheni za kipekee kwa watumiaji wa app
Usikose nafasi hii ya kipekee! Pakua app ya Meridianbet leo, weka tiketi yako ya kwanza, na ufurahie ushindi – hata kama tiketi ya kwanza haikutoboa!
Tembelea www.meridianbet.co.tz sasa ili kupakua app na kuanza kushinda!
MERIDIANBET – “TUNAANZA NA WEWE, TUNASHINDA PAMOJA”.
Siku ya leo, suka jamvi lako na Meridianbet pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.
The post MERIDIANBET YAZINDUA PROMOSHENI MPYA: “PAKUA APP YETU & USHINDE!”…. appeared first on Soka La Bongo.