Wananchi, Young Africans Sc wameanza hatua ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) kwa kipigo kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza katika uwanja wa Taifa wa Bingu, Malawi.
Mchezo wa marudiano utakaopigwa Oktoba 25, 2025 katika dimba la Benjamin Mkapa utaamua timu itakayokata tiketi ya hatua ya makundi ya CAFCL msimu wa 2025/26.
FT: Silver Striker 🇲🇼 1-0 🇹🇿 Yanga Sc
⚽ 76’ Andrew Joseph