Kwa mara ya kwanza Tanzania imepeleka timu nne kwenye hatua ya makundi ya michuano iliyopo chini ya Shirikisho la soka Afrika (CAF) baada ya Simba Sc, timu mbili kwenye kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) na timu mbili kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL).
Baada ya ushindi wa jumla wa 3-0 dhidi ya Nsingizini Hotspurs Fc ya Eswatini, Simba Sc imeungana na Yanga Sc kwenye hatua ya makundi ya CAFCL huku kwa Singida Black Stars na Azam FC zikikata tiketi ya hatua ya makundi ya CAFCC.
FT: Simba Sc 🇹🇿 0-0 🇸🇿 Nsingizini Hotspurs (Agg. 3-0)








