CAF Awards 2025 kwenye kipengele cha goli bora la mwaka yupo kijana wa kitanzania anayekipiga katika klabu ya Yanga SC, Clement Mzize.
Mzisze ameingia kwenye kinyang’anyiro hiko baada ya bao lake kujumuishwa ambalo aliwafungia kunguru wa Lubumbashi,TP Mazembe kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kwenye michuano ya CAFCL.
Pape SAKHO aliwahi kutwaa tuzo kama hii ya goli bora la mwaka kwenye CAF Awards 2022 baada ya goli lake kuchaguliwa ambalo alilifunga kwenye uwanja huo pia wa Mkapa dhidi ya Asec Mimosas kwenye michuano ya CAFCC.
Jinsi ya kumpigia kura ingia kwenye instagram ya CAF Online kwenye Bio yao kuna link itakupeleka moja kwa moja na kumpigia kura Clement Mzize tuzo ije nyumbani Tanzania kama ilivyokuwa ya Pape Sakho.
The post Goli la Mzize Dhidi ya TP Mazembe Kuwania Goli Bora Tuzo za CAF appeared first on SOKA TANZANIA.



