Kwa mara nyingine tena Meridianbet wanawakumbuka wateja wao kwa kuja na promosheni kabambe kabisa. Yaani, hii ni kubwa kuliko. Ni kupitia mchezo pendwa wa Kasino mtandaoni unaofahamika kama Super Heli. Kupitia mchezo huu washiriki wamepewa ofa ya kujishindia simu kali na ya kisasa aina ya Samsung A26.
Ndiyo, ni brand ya Samsung wakali wa simu za kisasa na zenye ubora wa hali ya juu. Ofa hii inatoa nafasi ya ushindi kwa wale wote wanaopenda kupaisha helikopta ya Super Heli.
Super Heli ni nini? Huu ni mchezo pendwa wa kasino mtandaoni ambao unamtaka mchezaji kuweka dau lake kisha kusubiri helikopta ianze kupaa huku ikiongeza odds ambazo zinakuongezea wewe mchezaji pesa yako kwani dau lako linazidisha mara odds zilizofikiwa na helikopta hiyo inayozidi kupaa, na ili upate pesa yako basi inabidi uwahi kutoa hela yako kabla ya helikopta hiyo kulipuka.
Ni burudani sana kushiriki huu mchezo kwani wepesi wako wa kutoa pesa yako ndo ushindi wako na pesa inaingia haraka sana hivyo kukuingizia kipato cha papo kwa papo. Yaani unaburudika kupata msisimko wa kuendesha helikopta huku ukipigia hesabu namna dau lako linavyoongezeka, na hivi sasa burudani imeingezwa zaidi kwani sasa unapata msisimko huo huku ukiwa na nafasi ya kujipatia simu pia bila kuingia gharama yeyote ya ziada kwani kiuhalisia simu hizi ni za gharama sana.
Ukijisajili Meridianbet unapewa bonasi ya mizunguko ya bure kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni lakini pia una machaguo ya kutosha ukiwa unabashiri na Meridianbet, kila chaguo lina odds kubwa. Jisajili kwa kupiga *149*10# au tovuti www.meridianbet.co.tz
Siri ya kushiriki kwenye promosheni hii ni nyepesi sana. Unachotakiwa ni kuwa na akaunti hai ya meridianbet kisha kucheza mchezo huu wa Super Heli mara nyingi iwezekanavyo ili kujipa nafasi kubwa zaidi ya ushindi. Jumla ya simu nne zitagawiwa kwa mwezi mzima, yaani kila jumatatu itakua ikitoka simu moja kwa mwezi mzima.
Jisajili sasa meridianbet na uanze kucheza Super Heli kupitia tovuti au kwa kupakua application na uwenda ukawa sehemu ya washindi na wamiliki wapya wa simu hizi za kisasa aina ya samsung A26 kutoka meridianbet.
The post URUBANI SASA KUKUPA SAMSUNG A26 KUPITIA SUPER HELI YA MERIDIANBET… appeared first on Soka La Bongo.


