Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete,akizungumza wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Nane wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) uliofanyika leo Novemba 15,2024 jijini Dodoma.

Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania Bw.Tumaini Nyamhokya,akielezea lengo la Mkutano Mkuu wa Nane wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) uliofanyika leo Novemba 15,2024 jijini Dodoma.
Sehemu ya washiriki wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete (hayupo pichani),wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Nane wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) uliofanyika leo Novemba 15,2024 jijini Dodoma.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete,akiteta jambo na Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania Bw.Tumaini Nyamhokya,wakati wa Mkutano Mkuu wa Nane wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) uliofanyika leo Novemba 15,2024 jijini Dodoma.
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania Bw.Hery Hebert Mkunda,akizungumza wakati wa Mkutano Mkuu wa Nane wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) uliofanyika leo Novemba 15,2024 jijini Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete,akiwa katika picha ya pamoja mara baaada ya kufungua Mkutano Mkuu wa Nane wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) uliofanyika leo Novemba 15,2024 jijini Dodoma.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe.Ridhiwani Kikwete,akisalimiana na watu mbalimbali mara baaada ya kufungua Mkutano Mkuu wa Nane wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) uliofanyika leo Novemba 15,2024 jijini Dodoma.
Bw.Nyamhokya amesema kuwa Mkutano Mkuu huu unaongozwa na Kauli Mbiu isemayo; “Ukuaji wa Uchumi wa Taifa, uthibitike katika hali Bora ya Maisha ya Wafanyakazi na Jamii”.
“Kauli mbiu hii inalenga kutambua na kuthamini kazi nzuri ya kuinua uchumi wa nchi iliyofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Uongozi madhubuti wa Rais wetu mpendwa Dkt. Samia Suluhu Hassan.”
Ameongeza kuwa ‘Tumeshuhudia juhudi kubwa za Serikali katika kuimarisha huduma za jamii nchini zikiwemo za Afya, Elimu, Miundo Mbinu ya Barabara na Nishati hivyo TUCTA tunapongeza juhudi hizo.”
Hata hivyo amesema kuwa umefika wakati sasa kwa Serikali kulitazama upya suala la mishahara ya Wafanyakazi wa Sekta zote na mazingira ya kazi kwa ujumla.
“Tunakumbusha kuwa kuboreshwa kwa maslahi ya wafanyakazi kuna mchango mkubwa kwenye maendeleo ya Jamii kwa vile ni Soko la uhakikika la mazao ya Wakulima na bidhaa za Wafanyabiashara. Furaha ya Wafanyakazi ni kuona ukuaji wa uchumi unawaondoa kwenye umaskini wa kipato. “amesema
Hata hivyo ameipongeza Serikali kwa kusikiliza kilio cha Wafanyakazi na kukubali kuboreshwa kwa kikokotoo cha malipo ya mkupuo kwa Wastaafu.
“Hoja yetu hapa ni kuwa maboresho yanaonesha kunufaisha zaidi Sekta ya umma ambayo kiwango chao cha malipo ya mkupuo kimepanda hadi asilimia arobaini (40%) wakati kwa Sekta ya Binafsi kimeishia asilimia Thelathini na Tano (35%). Tofauti iliyopo kwenye uwiano huu inaleta hisia za upendeleo. TUCTA tunashauri milango ya mashauriano ifunguliwe ili jambo hili lijadiliwe na muafaka upatikane.”amesisitiza