Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe Halima Dendego,akizungumza wakati akifungua Mafunzo ya Wanachama wa Klabu za Waandishi wa habari wa Mikoa ya Dodoma na Singida kuhusu Usambazaji na Matumizi ya Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 NA Tafiti nyingine za Takwimu,yaliyoanza leo kwa mbili Mkoani Singida yaliyoandaliwa na Menejimenti ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS).
Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe Halima Dendego,akizungumza wakati akifungua Mafunzo ya Wanachama wa Klabu za Waandishi wa habari wa Mikoa ya Dodoma na Singida kuhusu Usambazaji na Matumizi ya Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 NA Tafiti nyingine za Takwimu,yaliyoanza leo kwa mbili Mkoani Singida yaliyoandaliwa na Menejimenti ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS).
Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 Tanzania Bara Mhe Anne Sembamba Makinda,akizungumza wakati wa Mafunzo ya Wanachama wa Klabu za Waandishi wa habari wa Mikoa ya Dodoma na Singida kuhusu Usambazaji na Matumizi ya Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 NA Tafiti nyingine za Takwimu,yaliyoanza leo kwa mbili Mkoani Singida yaliyoandaliwa na Menejimenti ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS).
Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 Tanzania Bara Mhe Anne Makinda,akisisitiza jambo wakati wa Mafunzo ya Wanachama wa Klabu za Waandishi wa habari wa Mikoa ya Dodoma na Singida kuhusu Usambazaji na Matumizi ya Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 NA Tafiti nyingine za Takwimu,yaliyoanza leo kwa mbili Mkoani Singida yaliyoandaliwa na Menejimenti ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS).
Mkuu wa Wilaya ya Singida, Mhe. Godwin Gondwe,akitoa salama na kuwakaribisha Waandishi wa habari katika Wilaya yake wakati wa Mafunzo ya Wanachama wa Klabu za Waandishi wa habari wa Mikoa ya Dodoma na Singida kuhusu Usambazaji na Matumizi ya Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 NA Tafiti nyingine za Takwimu,yaliyoanza leo kwa mbili Mkoani Singida yaliyoandaliwa na Menejimenti ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS).
Mkurugenzi Mtendaji wa Wazo-Huru Media pamoja na Mwandishi wa habari wa Fullshangwe na Mzalendo News wakitetea jambo wakati wa Mafunzo ya Wanachama wa Klabu za Waandishi wa habari wa Mikoa ya Dodoma na Singida kuhusu Usambazaji na Matumizi ya Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 NA Tafiti nyingine za Takwimu,yaliyoanza leo kwa mbili Mkoani Singida yaliyoandaliwa na Menejimenti ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS).
Sehemu ya washiriki wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe Halima Dendego (hayupo pichani) wakati akifungua Mafunzo ya Wanachama wa Klabu za Waandishi wa habari wa Mikoa ya Dodoma na Singida kuhusu Usambazaji na Matumizi ya Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 NA Tafiti nyingine za Takwimu, yaliyoanza leo kwa mbili Mkoani Singida yaliyoandaliwa na Menejimenti ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS).
Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe Halima Dendego,akiwa katika picha ya pamoja na waandishi wa habari wa Mkoa wa Dodoma mara baada ya kufungua Mafunzo ya Wanachama wa Klabu za Waandishi wa habari wa Mikoa ya Dodoma na Singida kuhusu Usambazaji na Matumizi ya Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 NA Tafiti nyingine za Takwimu, yaliyoanza leo kwa mbili Mkoani Singida yaliyoandaliwa na Menejimenti ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS).
Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe Halima Dendego,akiwa katika picha ya pamoja na waandishi wa habari wa Singida mara baada ya kufungua Mafunzo ya Wanachama wa Klabu za Waandishi wa habari wa Mikoa ya Dodoma na Singida kuhusu Usambazaji na Matumizi ya Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 NA Tafiti nyingine yaliyoanza leo kwa mbili Mkoani Singida yaliyoandaliwa na Menejimenti ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS).
Na.Alex Sonna-SINGIDA