MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akivishwa Shada la Maua na Kijana wa Chipukizi Alham Said Bakar, alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Chakechake Pemba, kwa ajili ya mapokezi yaliyofanyika leo 15-2-2025, baada ya kuteuliwa kuwa mgombea mteule wa Rais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar utakaofanyika mwaka huu 2025.(Picha na Ikulu)
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali aliowasili Uwanja wa Ndege wa Chakechake Pemba, kwa ajili ya mapokezi yaliyofanyika leo 15-2-2025, baada ya kuteuliwa kuwa mgombea mteule wa Rais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar mwaka huu 2025.(Picha na Ikulu)
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimiana Wananchi wakati wa mapokezi yake akipita katika barabara ya Chake Chake Pemba leo 15-2-2025 kwa ajili ya kumpongeza na kuzungumza na Wananchi wa Pemba, katika viwanja vya Mauwani Jimbo la Jimbo la Kiwani Mkoa wa Kusini Pemba.(Picha na Ikulu)
WANANCHI wa Pemba wakishangilia na kumpongeza Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, wakati wa mapokezi yake Pemba leo 15-2-2025, kwa kuchaguliwa kugombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM katika uchaguzi Mkuu wa Zanzibar mwaka 2025.(Picha na Ikulu)
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifungwa kiskafu na Vijana wa UVCCM, baada ya kuwasili katika viwanja vya Afisi za CCM Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba, wakati wa mapokezi yake yaliyofanyika leo na kuzungumza na Wananchi katika viwanja vya Mauwani Kiwani Mkoa wa Kusini Pemba.(Picha na Ikulu)