Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Tanzania Commercial Bank (TCB BANK), Bw. Adam Mihayo kwenye Makazi ya Waziri Mkuu, Oysterbay jijini Dar es Salaam, Februari 25, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Afisa Mtendaji Mkuu wa Tanzania Commercial Bank (TCB BANK), Bw. Adam Mihayo kwenye Makazi ya Waziri Mkuu, Oysterbay jijini Dar es Salaam, Februari 25, 2025. Kushoto ni Mkurugenzi wa Mikopo wa Benki hiyo, Daniel Mbotto. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Afisa Mtendaji Mkuu wa Tanzania Commercial Bank, Bw. Adam Mihayo kwenye Makazi ya Waziri Mkuu, Oysterbay jijini Dar es Salaam, Februari 25, 2025. Kulia ni Mkurugenzi wa Wateja Binafsi na Wafanya Biashara wa Benki hiyo, Lilian Mtaki. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)