Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) Dkt. Erasmus Kipesha, wakati akitoa taarifa kwa waandishi wa habari leo Februari 25,2025 jijini Dodoma kuhusu mafanikio ya Serikali ya awamu ya sita katika sekta ya Elimu nchini.
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari-MAELEZO,Bi.Zamaradi Kawawa,akitoa shukrani kwa waandishi wa habari mara baada ya Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) Dkt. Erasmus Kipesha,kutoa taarifa kuhusu mafanikio ya Serikali ya awamu ya sita katika sekta ya Elimu nchini.
Waandishi wa habari wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) Dkt. Erasmus Kipesha , wakati akitoa taarifa kuhusu mafanikio ya Serikali ya awamu ya sita katika sekta ya Elimu nchini.
“Kuna faida ya kuchangia maendeleo ya elimu kupitia Mfuko wa Elimu wa Taifa ila hatuwalazimishi kupitia TEA ila kwa namna yeyote ambavyo mdau atachangia lengo ni kuendeleza sekta ya elimu,” ameeleza Dkt.Kipesha