Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Dkt. Franklin Rwezimula,akizungumza wakati akifungua mafunzo maalum kwa wasaidizi wa kisheria leo Februari 26,2025 jijini Dodoma.
Mwakilishi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Legal Services Facility (LSF),Bw. Amani Manyelezi,akizungumza wakati wa mafunzo maalumkwa wasaidizi wa kisheria kuhusu msaada wa kisheria leo Februari 26,2025 jijini Dodoma.
Sehemu ya washiriki wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Dkt. Franklin Rwezimula (hayupo pichani),akizungumza wakati akifungua mafunzo maalum kwa wasaidizi wa kisheria leo Februari 26,2025 jijini Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Dkt.Franklin Rwezimula,akipokea zawadi kutoka kwa Mwakilishi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Legal Services Facility (LSF),Bw. Amani Manyelezi,mara baada ya kufungua mafunzo maalum kwa wasaidizi wa kisheria leo Februari 26,2025 jijini Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Dkt. Franklin Rwezimula,akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufungua mafunzo maalum kwa wasaidizi wa kisheria leo Februari 26,2025 jijini Dodoma.