Kaimu Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Vivin Method akizungumza na watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakati akifungua Mafunzo kuhusu Upimaji wa Afya yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu wa Ofisi ya Wakili
Mkuu wa Serikali, Bi.Asha Hayeshi akitoa neno la utangulizi kwa watumishi wa ofisi hiyo wakati wa Mafunzo kuhusu upimaji wa afya yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Mratibu wa Kusimamia Magonjwa yanayoambukiza wa Ofisi ya Mganga Mkuu wa
Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam, Dkt. Aisha Zukheri akitoa maada kuhusu
Magonjwa yanayoambukiza wakati wa mafunzo hayo yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Mratibu wa Kusimamia Magonjwa yasiyoambukiza wa Ofisi ya Mganga Mkuu wa
Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam, Dkt. Milka Mathania akitoa mada kuhusu
Magonjwa yasiyoambukiza wakati wa mafunzo hayo yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Kaimu Afisa Lishe wa Ofisi ya Mganga Mkuu wa Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam,Bi. Neema Makasege akitoa mada kuhusu kuhusu Lishe na Afya wakati wa mafunzo hayo yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakichangia mada kuhusu Lishe na Afya wakati wa mafunzo hayo yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.