Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Idrisa Kitwana Mustafa akisalimiana na Mabalozi waliofika Zanzibar kwa Ziara Maalum ya kutembelea Sehemu mbalimbali na kuangalia Vivutio vya Utalii.Jumla ya Mabalozi 60 wanaowakilisha Nchi zaidi ya 40 pamoja na Mashirika ya Kimataifa ,Afrika ,Ulaya na Asia waliwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Amani Abeid Karume Zanzibar.
Mabalozi waliofika Zanzibar kwa Ziara Maalum ya kutembelea Sehemu mbalimbali na kuangalia Vivutio vya Utalii wakipokelewa na Kuangalia Burudani ya Ngoma ya Msewe mara baada ya Kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Amani Abeid Karume Zanzibar .Jumla ya Mabalozi 60 wanaowakilisha Nchi zaidi ya 40 pamoja na Mashirika ya Kimataifa ,Afrika ,Ulaya na Asia waliwasili.
Mkuu wa Jengo la Baitil Amani Heri Bakari akitolea maelezo kuhusiana na Makumbusho ya Jengo hilo kwa Mabalozi waliofika Zanzibar kwa Ziara Maalum ya kutembelea Sehemu mbalimbali, kuangalia Vivutio vya Utalii Zanzibar .Jumla ya Mabalozi 60 wanaowakilisha Nchi zaidi ya 40 pamoja na Mashirika ya Kimataifa ,Afrika ,Ulaya na Asia waliwasili.
Mkuu wa Makumbusho ya Makaburi ya Wafalme Zuhura Ali akitowa Maelezo kuhusiana na Historia ya Wafalme kwa Mabalozi waliofika Zanzibar kwa Ziara Maalum ya kutembelea Sehemu mbalimbali, kuangalia Vivutio vya Utalii Zanzibar .Jumla ya Mabalozi 60 wanaowakilisha Nchi zaidi ya 40 pamoja na Mashirika ya Kimataifa ,Afrika ,Ulaya na Asia waliwasili.
Mkuu wa Makumbusho ya Makaburi ya Wafalme Zuhura Ali akitowa Maelezo kuhusiana na Historia ya Makaburi ya Wafalme kwa Mabalozi waliofika Zanzibar kwa Ziara Maalum ya kutembelea Sehemu mbalimbali, kuangalia Vivutio vya Utalii Zanzibar .Jumla ya Mabalozi 60 wanaowakilisha Nchi zaidi ya 40 pamoja na Mashirika ya Kimataifa ,Afrika ,Ulaya na Asia waliwasili.
Mtembeza Watalii Idi Shabani Abrahmani akitoa maelezo kuhusiana na Mji Mkongwe wa Forodhani, kwa Mabalozi waliofika Zanzibar kwa Ziara Maalum ya kutembelea Sehemu mbalimbali, kuangalia Vivutio vya Utalii Zanzibar .Jumla ya Mabalozi 60 wanaowakilisha Nchi zaidi ya 40 pamoja na Mashirika ya Kimataifa ,Afrika ,Ulaya na Asia waliwasili.
Mabalozi waliofika Zanzibar kwa Ziara Maalum ya kutembelea Sehemu mbalimbali, kuangalia Vivutio vya Utalii wakitembelea Mji Mkongwe Forodhani Zanzibar .Jumla ya Mabalozi 60 wanaowakilisha Nchi zaidi ya 40 pamoja na Mashirika ya Kimataifa ,Afrika ,Ulaya na Asia waliwasili.
Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Mudrik Ramadhan Soraga akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na Ziara ya Mabalozi waliofika Zanzibar kwa Ziara Maalum ya kutembelea Sehemu mbalimbali, kuangalia Vivutio vya Utalii Zanzibar .Jumla ya Mabalozi 60 wanaowakilisha Nchi zaidi ya 40 pamoja na Mashirika ya Kimataifa ,Afrika ,Ulaya na Asia waliwasili.
Muonekano wa Sub marine iliowabeba Mabalozi kwa ajili ya kuangalia Samaki na Vivutio mbalimbali vya Baharini wakati walipowasili kwa Ziara Maalum ya kutembelea Sehemu mbalimbali, kuangalia Vivutio vya Utalii Zanzibar .Jumla ya Mabalozi 60 wanaowakilisha Nchi zaidi ya 40 pamoja na Mashirika ya Kimataifa ,Afrika ,Ulaya na Asia waliwasili.