Baadhi ya Viongozi kutoka taasisi mbalimbali pamoja na waliowahi kushinda taji la Miss Tanzania kwa nyakati tofauti na waombolezaji wakiwa wamewasili nyumbani kwa aliyekuwa Mratibu wa Mashindano ya Miss Tanzania Hashim Lundenga.




Balozi wa Tanzania nchini Swedeni Mheshimiwa Mobhare Matinyi akiwasili na kusaini kitabu cha Maombolezo nyumbani kwa Marehemu Hashim Lundenga leo Aprili 21,2025 Mbweni Jijini Dar es Salaam.
Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) Dkt. Kedmon Mapana akitoa salamu za pole kwa familia ya Marehemualiyekuwa Mratibu wa Mashindano ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga leo Aprili 21, 2025 Mbweni Jijini Dar es Salaam.
(PICHA ZOTE NA EMMANUEL MBATILO)