Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda alipowasili kwenye uwanja wa Ndege wa Kisongo jijini Arusha ambako baadae alifungua Mkutano wa 73 wa Baraza la Kimataifa la Viwanja vya Ndege kwa Kanda ya Afrika uliofanyika kwenye ukumbi wa hoteli ya Mount Meru , Aprili 28, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Afisa wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Kenya, Bw. Robinson Malemo (kushoto) alipotembelea banda la maonesho la Mamalaka hiyo, kabla yakufungua Mkutano wa 73 wa Baraza la Kimataifa la Viwanja vya Ndege kwa Kanda ya Afrika uliofanyika kwenye ukumbi wa hoteli ya Mount Meru jijini Arusha, Aprili 28, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki kuimba Wimbo wa Taifa wakati alipowasili kwenye ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Mount Meru jijini Arusha kufungua Mkutano wa 73 wa Baraza la Kimataifa la Viwanja vya Ndege kwa Kanda ya Afrika, Aprili 28, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua Mkutano wa 73 wa Baraza la Kimataifa la Viwanja vya Ndege kwa Kanda ya Afrika uliofanyika kwenye ukumbi wa hoteli ya Mount Meru jijini Arusha, Aprili 28, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Mkuu wa mkoa wa Arusha, Paul Makonda alipotoka kwenye ukumbi wa hoteli ya Mount Meru jijini Arusha baada ya kufungua Mkutano wa 73 wa Baraza la Kimataifa la Viwanja vya Ndege kwa Kanda ya Afrika, Aprili 28, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)