RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiongoza Ujumbe wa Zanzibar katika mazungumzo rasmin na Ujumbe wa Msumbiji ukiongozwa na Rais wa Msumbiji Mhe.Daniel Chapo (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 9-5-2025, akiwa Zanzibar kwa ziara ya siku moja.(Picha na Ikulu).
RAIS wa Msumbiji Mhe. Daniel Chapo akiongoza Ujumbe wa Msumbiji katika mazungumzo rasmin na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akiongoza ujumbe wa Zanzibar, katika mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 9-5-2025, akiwa Zanzibar kwa ziara ya siku moja.(Picha na Ikulu)
UJUMBE wa Viongozi wa Msumbiji wakiwa katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar wakati wa mazungumzo rasmin na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Rais wa Msumbiji Mhe. Daniel Chapo (hawapo pichani) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 9-5-2025.(Picha na Ikulu)
UJUMBE wa Viongozi wa Msumbiji wakiwa katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar wakati wa mazungumzo rasmin na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Rais wa Msumbiji Mhe. Daniel Chapo (hawapo pichani) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 9-5-2025.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi maalumu ya picha ya mandhari ya Zanzibar, mgeni wake Rais wa Msumbiji Mhe.Daniel Chapo, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 9-5-2025, akiwa Zanzibar kwa ziara ya siku moja.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalumu ya picha ikionesha ramani ya Msumbiji,na Rais wa Msumbiji Mhe.Daniel Chapo, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 9-5-2025, akiwa Zanzibar kwa ziara ya siku moja.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiongozana na mgeni wake Rais wa Msumbiji Mhe.Daniel Chapo, wakielekea katika eneo lililoandaliwa kwa ajili ya dhifa maalumu, aliyomuandalia mgeni wake katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 9-5-2025, akiwa Zanzibar kwa ziara ya siku moja.(Picha na Ikulu)
NO.3654///RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na mgeni wake Rais wa Msumbiji Mhe. Daniel Chapo (kulia kwa Rais) wakati ukupigwa wimbo wa Taifa wa Msumbiji na Tanzania, katika hafla maalumu ya chakula cha mchana alichomuandalia mgeni wake katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 9-5-2025 na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Mahmoud Thabit Kombo.(Picha na Ikulu)
NO.3660///MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwa na mgeni wake Mke wa Rais wa Msumbiji Mama Gueta Selemane Chapo (kulia kwake) wakiwa katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar, wakati ukupigwa wimbo wa Taifa wa Tanzania na Msumbiji, wakati wa dhifa maalumu ya chakula cha mchana iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, iliyofanyila leo 9-5-2025 katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
NO.3681///RAIS wa Msumbiji Mhe.Daniel Chapo akisalimia na Makamu wa Pili wa Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, wakati akitambulishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, baada ya kumalizika kwa dhifa maalumu aliyomuandalia mgeni wake katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 9-5-2025.(Picha na Ikulu)
NO.3686///RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimtambulisha Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa na Viongozi wenge kwa mgeni wake Rais wa Msumbiji Mhe.Daniel Chapo, baada ya kumalizika kwa hafla ya dhifa maalumu aliyomuandalia mgeni wake katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 9-5-2025.(Picha na Ikulu)