Rais wa Zanzibar na Menyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk Hussein Ali Mwinyi (watano kushoto)akijumuika na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Swala ya Iddi El Adh-ha iliofanyika katika Msikiti wa Ijumaa Bambi Wilaya a Kati Mkoa wa Kusini Unguja .Swala iliongozwa na Sheikh Suleiman Salum Ali kutoka Dunga .
Rais wa Zanzibar na Menyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk Hussein Ali Mwinyi (KULIA)akipokea Zawadi ya Kuku kutoka kwa Mzee Haji Thabit Mwadini ikiwa ni Ishara ya Shukurani kwa Wazee mara baada ya kumaliza kuswali Swala ya Iddi El Adh-ha iliofanyika katika Msikiti wa Ijumaa Bambi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja .
Rais wa Zanzibar na Menyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Baraza la Iddi El Adh-ha lililofanyika katika Ukumbi wa Dk Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Menyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi mara baada ya kuwasili katika Msikiti wa Ijumaa kwa ajili ya kuswali Swala ya Iddi El Adh-ha Bambi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Baadhi ya Viongozi wa Chama na Serikali waliohudhuria katika Swala ya Iddi El Adh-ha Bambi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Sheikh Abdulrahman Omar Abdalla akitoa khutba ya Swala ya Idi El Adh-ha iliofanyika katika Msikiti wa Ijumaa Bambi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja .
Rais wa Zanzibar na Menyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk Hussein Ali Mwinyi akiwa pamoja na Viongozi mbalimbali wakiomba Dua mara baada ya kumaliza kuswali Swala ya Iddi El Adh-ha Bambi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Mke wa Rais wa Zanzibqar Mama Mariam Mwinyi(katikati)akiwa pamoja na Viongozi akinamama mbalimbali katika Baraza la Idi El Adh-ha lililofanyika katika Ukumbi wa Dk Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Menyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Baraza la Iddi El Adh-ha lililofanyika katika Ukumbi wa Dk Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
PICHA NA YUSSUF SIMAI,MAELEZO ZANZIBAR.07-06-2025.