HATIMAYE hayawi hayawi sasa yamekuwa, ile michuani mikali ambayo ilikuwa inasubiri kwa hamu sana sasa imefika. Si mingine ni michuano ya Kombe la Dunia la vilabu. Nafasi ya kutusua na Meridianbet unayo leo. Bashiri sasa.
Michuano hii itafanyika huko Marekani ambapo takribani timu 32 kutoka mabara tofauti zitashiri michuano hii mikali kabisa ambayo itazamiwa kumpata Bingwa wa Dunia kwa ngazi za vilabu.
Timu hizo 32 ambazo zitakuwa zikishiriki michuano hii zitatoka kwenye mabara tofauti ambapo Bara la Ulaya UEFA (EUROPE) litatoa timu 12 ambazo ni,
● Chelsea (England)
● Manchester City (England)
● Real Madrid ( Spain),
● Atletico Madrid (Spain)
● Bayern Munich (Germany)
● Borussia Dortmund (Germany)
● PSG (France)
● Inter Milan (Italy)
● Juventus (Italy)
● Benfica (Portugal)
● Porto (Portugal)
● RB Salzburg (Austria)
Hizo ndio timu ambazo zotashiriki kwenye michuano hii ya Kombe la Dunia la Vilabu kutoka Bara ya Ulaya ambapo ndani ya bara hilo ndipo kuna bingwa wa ligi ya mabingwa wa Ulaya kutoka kule Ufaransa yaani PSG.
Meridianbet inasisitiza pia kuna michezo kibao ya kukupatia mkwanja leo kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz
Vilevile kutoka bara la Amerika ya Kusini CONMEBOL (South America) itawakilishwa na timu 6 pekee ambazo ni kama ifuatavyo,
● Palmeiras (Brazil)
● Flamengo (Brazil)
● Fluminense (Brazil)
● River Plate (Argentina)
● Boca Juniors (Argentina)
● Botafogo (Brazil)
Hao ndio wababe wa bara la America ya Kusini ambao wataenda kusaka kombe hilo la bingwa kwa ngazi ya vilabu la Kombe la Dunia. Je unampa nani nafasi ya kuondoka bingwa kwenye bara hili?. ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo Meridianbet. Ingia na ubashiri sasa.
Bara lingine ambalo litatoa timu za kushiriki Kombe la Dunia la Vilabu ni Bara la Asia (AFC) ambapo hapa kuna timu 4 pekee,
● Al Hilal ( Saudi Arabia)
● Urawa Red Diamonds (Japan)
● Al Ain ( United Emirates Arabs)
● Ulsain Hyundai ( South Korea)
Pia timu zingine ambazo zitashiriki Fifa Club World Cup zinatoka katika bara la Afrika CAF, ambazo hapa zipo 4 tuu, nazo ni,
● AL Ahly (Egypt)
● Wydad Casablanca (Morocco)
● Esperence Des Tunis (Tunisia)
● Mamelod Sundowns (South Africa)
Timu zingine 5 zitatoka katika bara la CONCACAF (North America) huku pale Meridianbet hili ni bara mojawapo ambapo timu kutoka hapo hazipewi sana nafasi ya kushinda Kombe hili. Je wewe unasema? Timu hizi ni zipo 5 ambazo hizi hapa,
● Monterrey ( Mexico)
● Seattle Soundres (USA)
● Pachuca (Mexico)
● Los Angeles FC (LAFC) USA
● Inter Miami (USA) ambao hawa ndio wenyeji wa michuano hii, hata hivyo wao ndio watafungua michuano hii hapo kesho ambapo watakipiga dhidi ya Al Ahly.
Ukiachana na mabara hayo, pia kuna bara 1 ambalo nalo litashiriki michuano hii kwa kuleta timu 1. Bara hilo ni OFC (Oceania) timu hiyo ni Auckland City ( New Zealand).
Kwahiyo hizo ndio timu 32 kutoka mabara 6 ambazo zitashiriki michuano hii ya Kombe la Dunia kwa ngazi za vilabu huko Marekani, Viwanja vitakvyotumika ni kama vile Hard Rock, Rose Bawl, TQL, Metlife, New Jersey, Mercedes- Benz, Lincolin Finacial Field, nk.
Timu 32 zimegawanywa kwenye makundi 8 yenye timu 4 kila moja ambapo timu mbili bora kutoka kila kundi zitafuzu hatua y a mtoano. Mashindano haya yatahitimishwa na kwa fainali itakayochezwa Tarehe 13 Julai 2025 katika dimba la Metlife. Jisajili na ubeti na Meridianbet.