RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viomgozi mbalimbali alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar kwa ajili ya kulifungua Kongamano la Kwanza la Kitaaluma la Utumishi wa Umma, lililofanyika leo 17-6-2025 katika ukumbi wa hoteli hiyo.(Picha na Ikulu)
WASHIRIKI wa Kongamano la Kwanza la Kitaaluma la Utumishi wa Umma wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Kongamano hilo wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Kongamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni,Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 17-6-2025.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa TUZO Maalumu ya Heshima, wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Kwanza la Kitaaluma la Utumishi wa Umma, akikabidhiwa na Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Tanzania Mhe.Deus Clement Sangu na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Dkt.Haroun Ali Suleiman, (wakiwa kushoto kwa Rais) hafla hiyo ya ufunguzi wa Kongamano hilo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 17-6-2025.(Picha na Ikulu)
NO.0674-0690///RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Kongamano la Kwanza la Kitaaluma la Utumishi wa Umma, lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 17-6-2025.(Picha na Iku
lu)