Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akioneshwa kitabu na Afisa Mitaala Taasisi ya Elimu Tanzania Christian Kivenule, kwenye kilele cha Maadhimisho ya Miaka 50 ya Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) yaliyofanyika katika viwanja vya Taasisi hiyo, Bamaga Jijini Dar es Salaam, Juni 17, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikagua mabanda, kwenye kilele cha Maadhimisho ya Miaka 50 ya Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) yaliyofanyika katika viwanja vya Taasisi hiyo, Bamaga Jijini Dar es Salaam, Juni 17, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda, kwenye kilele cha Maadhimisho ya Miaka 50 ya Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) yaliyofanyika katika viwanja vya Taasisi hiyo, Bamaga Jijini Dar es Salaam, Juni 17, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akifafanuliwa jambo na Mhakiki wa Maandishi ya Wasiyoona Khadija Salumu, kwenye kilele cha Maadhimisho ya Miaka 50 ya Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) yaliyofanyika katika viwanja vya Taasisi hiyo, Bamaga Jijini Dar es Salaam, Juni 17, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikabidhiwa kitabu cha …….baada ya kukizindua, kwenye kilele cha Maadhimisho ya Miaka 50 ya Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) yaliyofanyika katika viwanja vya Taasisi hiyo, Bamaga Jijini Dar es Salaam, Juni 17, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akifafanuliwa jambo na Mhakiki wa Maandishi ya Wasiyoona Khadija Salumu, kwenye kilele cha Maadhimisho ya Miaka 50 ya Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) yaliyofanyika katika viwanja vya Taasisi hiyo, Bamaga Jijini Dar es Salaam, Juni 17, 2025. Kushoto ni Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza kwenye kilele cha Maadhimisho ya Miaka 50 ya Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) yaliyofanyika katika viwanja vya Taasisi hiyo, Bamaga Jijini Dar es Salaam, Juni 17, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)