Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisoma hotuba ya kuhitimisha shuguli za Bunge la 12 jijini Dodoma, Juni 25, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akielekea kwenye mimbali kusoma hotuba ya kuhitimisha shuguli za Bunge la 12 jijini Dodoma, Juni 26, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba akifuatilia hotuba ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ya kuhitimisha shughuli za Bunge la 12 jijini Dodoma, Juni 26, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezwa na wabunge baada ya hotuba yake ya kuhitimisha shughuli za Bunge la 12 jijini Dodoma, Juni 26, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)