HABARI njema kwako mteja wa Meridianbet, huu ni mwezi mpya wa 7 ambapo unaeza ukawa na bahati ya kuondoka na simu janja aina ya Samsung A25 ukibashiri mechi zozote kwenye ligi yoyote na kujiweka kwenye nafasi ya ushindi.
Promosheni hii ya kushindania simu moja kati ya nane imeanza hapo jana tarehe 1 Julai na itaenda mpaka mwisho wa mwezi huu tarehe 31 huku Meridianbet wakisema kuwa nafasi ya wewe kujichukulia simu yako uipendayo ipo wazi sana.
Ili kujiweka moja kwa moja kwenye kinyang’anyiro cha kushindani Simu hizo inabidi kwanza uwe umejisajili na Meridianbet na kisha uweke dau lako halafu ucheze kiasi kuanzia shilingi 5000 kila wiki kwenye ligi yoyote ya mpira wa miguu.
Meridianbet ndio kampuni bora kabisa inayotoa ODDS za kibabe na machaguo zaidi ya 1000. Suka mmkeka wako na uchague timu zako hapa. Jisajili sasa.
Je unajua jinsi ambavyo unacheza mara nyingi ndipo unajiweka kwenye nafasi ya washindi?. Simu aina ya Samsung A25 ipo kwaajili yako sasa mechi nyingi zipo pale Meridianbet unachotakiwa kufanya ni kusuka jamvi la ushindi hapa.
Ili kupiga pesa kirahisi, cheza michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz
Kwenye promosheni hii ya kubeti online, wale ambao watakuwa wameshinda, yaani washindi watatangazwa kila Ijumaa ambapo ambapo simu mbili zitatolewa kwaajili yao na kukabidhiwa hapo hapo.
Pia mteja anakumbushwa kuwa tiketi ambazo zitakuwa na TURBOCASH zitakuwa batili hazitahesabiwa, hivyo mchezaji akibashiri mechi zake inabidi asubiri mechi zimalizike ndipo tiketi zake zitahesabiwa kwenye watu wanaojishindia Simu.
Hivyo mteja wa Meridianbet changamkia fursa hiyo imekuja mkononi mwako sasa. Wapi utapata fursa kama hii?. Kadri ambavyo unabashiri mara nyingi mechi za mpira wa miguu ndipo unaposogelea Samsung A25 yako sasa.