RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi maalumu mgeni wake Mwenyekiti na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Miss World Limited Bi.Julia Evelyn Morley, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 21-7-2025.(Picha na Ikulu).
MSHINDI wa Taji la Urembo la Dunia 2025 Opal Chuangsri kutoka Nchini Thailand na (kulia ) Mshindi wa Taji la Urembo la Afrika 2025.Hasset Admassu kutoka Nchini Ethiopia (kushoto) wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussen Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa mazungumzo na ujumbe huo ukiongozwa na Mwenyekiti na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Miss World Limited.Bi.Julia Evelyn Morley, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 21-7-2025.(Picha na Ikulu).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Kampuni ya Miss World Limited ukiongozwa na Mwenyekiti na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni hiyo Bi.Julia Evelyn Morley (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 21-7-2025 na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Mshindi wa Taji la Miss World 2025 Opal Suchata Chuangsri, baada kumaliza mazungumzo na ujumbe wa Kampuni ya Miss World Limited, , ukingozwa na Mwenyekiti na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni hiyo Bi. Julia Evelyn Morley, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 21-7-2025.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na wageni wake (kulia kwa Rais) Mshindi wa Taji la Urembo la Dunia 2025. Opal Suchata Chuangsri kutoka Nchini Thailand (kushoto kwa Rais) Mshindi wa Taji la Urembo Afrika 2025.Hasset Dereje Admassu kutoka Nchini Ethiopia, baada ya kumaliza mazungumzo na ujumbe wa Kampuni ya Miss World Limited, yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 21-7-2025.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Mwenyekiti na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Miss World Limited Julia Evelyn Morley, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 21-7-2025.(Picha na Ikulu)