Sidhani kama kuna mfanyakazi anaweza kutosheka na kuridhika na mshahara ule ule kwa miaka nenda rudi, na hii ni kutokana kila mshahara unapoongezeka, matumizi nayo yanaongezeka tena kwa kiasi kikubwa. Hiyo hufanya mfanyakazi kutumia tena ombi la mshahara, hata hivyo ni Mabosi wachache au Ofisi chache ambazo muda wote zipo tayari kwa kuongeza mshahara mfanyakazi…. SOMA ZAIDI