![]() |
Jemedari Said (Bin Kazumari) |
Mchambuzi wa Mpira wa miguu nchini Jemedari Said (Bin Kazumari) ni miongoni mwa wateuliwa wa ugombea wa nafasi ya Ubunge ndani ya Chama cha Mapinduzi CCM kupitia Jimbo la Mtama.
NB: Jemedari said atachuana na Nape nauye.