Klabu ya Azam FC imekamilisha usajili wa kiungo Sadio kanoute (28) akiwa kama mchezaji huru kuelekea msimu wa 2025-2026″
“Kanoute ambaye anafahamika kwa jina la “Putin” amewahi kuhudumu kwenye klabu kadhaa ikiwemo Simba, Stade Malien, Al Ahly Benghazi, pamoja na JS Kabylie ya nchini Algeria”
“Sadio Kanoute amejiunga na Azam baada ya kuachwa na JS Kabylie ambayo ameitumikia kwa msimu mmoja”