Yes, Esparance de Tunis wanahitaji huduma ya Clement Mzize kwa ajiri ya msimu wa 2025/2026.
Hii Leo wamepanda dau mpaka $1,000,000 ambazo ni sawa sawa na Billion 2.5.
Yanga SC ni muda wakufanya biashara sasa naona ni huu pesa ndefu sana hii kama watakwenda kufanya biashara hii ya Mzize klabu itavuna.
Esparance wanamuangalia Steven Dense Mukwala kama mbadara wa Mzize endapo Yanga hawatomuuza basi watakwenda Simba SC kuulizia huduma ya Steven Mukwala.
Tuone mpaka mwisho hapa Wakuu, Ni Mzize au Mukwala atauzwa kwenda kwenye klabu ya Esparance de Tunis.
NB: MZIZE CHAGUO LAKWANZA, MUKWALA NI CHAGUO LA PILI.