Mashetani Wekundu wameanza msimu kwa kipigo cha 1-0 nyumbani dhidi ya Waskika Mitutu, Arsenal katika dimba la Old Trafford.
Ushindi huu ni tano kwa Arsenal kwenye mechi sita zilizopita dhidi ya Mashetani hao Wekundu huku ikiwa haijapoteza katika dimba la Old kwa zaidi ya miaka mitatu.
FT: Man United 0-1 Arsenal
⚽ 13’ Riccardo Calafiori
ARSENAL DHIDI YA MAN UTD
✅ Man United 0-1 Arsenal (25/26)
🤝 Man United 1-1 Arsenal (24/25)
✅ Arsenal 2-0 Man United (24/25)
✅ Man United 0-1 Arsenal (23/24)
✅ Arsenal 3-1 Man United (23/24)
✅ Arsenal 3-2 Man United (22/23)