“Mimi sio mkorofi kama mnavyodhani”. “Kadi nyekundu niliyopata kwenye CRDB FEDERATION CUP nikiwa na Timu yangu ya zamani ilikuwa ni sehemu ya Mchezo lakini haimaanishi kuwa mimi sina nidhamu kama mnavyodhani.
“Kupata Kadi nyekundu kwa Mchezaji ni kawaida kilichotokea ni sehemu ya Mchezo lakini Watu wanatumia Mitandao ya kijamii kusema kuwa sina nidhamu kitu ambacho sio kweli mimi ni mtu poa sana na ninapenda Amani”,amesema Jonathan Sowah