Mnyama, Simba Sc ameendelea kunyanyasika kwa mara ya sita mbele ya Wananchi kwenye Dabi ya Kariakoo huku Young Africans Sc wakitwaa ubingwa wa Ngao ya Jamii kwa mara ya 9 kihistoria kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya mtani wake.
FT: Yanga Sc 1-0 Simba Sc
⚽ 54’ Pacome