Wananchi wanaelekea kwenye mchezo wa marudiano wa hatua ya awali wa Ligi ya Mabingwa Afrika na faida ya pointi 3 kufuatia ushindi wa 3-0 dhidi ya Williete Sc ya Angola katika dimba la dimba la Ombaka, Benguela.
FT: Williete Sc 🇦🇴 0-3 🇹🇿 Yanga Sc
⚽ 32’ Andabwile
⚽ 71’ Edmund
⚽ 81’ Dube
MARUDIANO: Septemba 27, 2025
Yanga Sc 🇹🇿 vs 🇦🇴 Williete Sc (agg. 3-0)