Kwa muujibu wa mwandishi na mchambuzi nguli wa michezo Edo Kumwembe, anasema anachojua ni kua Khalid Aucho atarejea timu kubwa mapema Januari.
“Nilizaliwa April 16/04/1999….Maana watu wengi sana huwa mnataka kujua umri wangu. Za ndani Kuhusu Khalid Aucho nadhani anarudi timu kubwa Januari….bado nipo nipo kwa Trump ndugu zangu”.