Kubwa La Maadui,ROMAN FOLZ
Yes nikweli mbinu zake sasa hivi ni Kupiga Mbele and InshaAllah. Lakini Kocha Kumuona hafai Kabisa baada tu ya Mechi Mbili za Ligi nafikri ni Mapema sana..
Kila Kocha anahitaji Muda . Mpira wa Miguu sio Kama Kupika Chai.Just give Roman Folz time ili Mwisho tuhukumu Kwa haki.
Thought??
Ameandika @mzeewajambia