Fedha zako sasa zina nafasi ya kujizalisha zaidi na kujiweka kwenye nafasi ya kushinda kila siku kupitia Meridianbet. Kupitia mchezo mpya wa kasino ya mtandaoni Win&Go, sasa hautaacha mchezo kwa wasiwasi wa kupoteza, kwani Meridianbet inakupa ofa kabambe ya kurejesha 10 % ya pesa ulizopoteza siku iliyopita kama Win&Go bonus.
Ikiwa ulipoteza angalau Sh. 10,000, utapokea bonasi ya 10 %, sawa na Sh. 1,000, kesho yake. Kiasi cha pesa kinachoweza kurejeshwa kinafikia hadi Sh. 15,000 kwa siku, kutegemea na dau uliloliweka. Hii inamaanisha kwamba hata ukipata hasara leo, bado una nafasi ya kurudi kwa nguvu kesho ukiwa na matumaini mapya ya ushindi.
Mchezo wa Win&Go kutoka Expanse Studios ni moja ya michezo maarufu ya bahati nasibu inayochezwa kila baada ya dakika tano. Uchezwaji wake ni rahisi, unachagua namba 6 hadi 10 kati ya 48, kisha mfumo unatoa namba 35 kwa kila raundi. Ushindi wako unategemea idadi ya namba zako zilizotokea kwenye droo.
NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni ili kupata ushindi kirahisi zaidi. Pia, ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo yenye ODDS KUBWA ZAIDI! PIGA *149*10# au tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz
Meridianbet imekuwa ikijulikana kwa promosheni nyingi zenye mvuto mkubwa, kuanzia mizunguko ya bure, bonasi za ukaribisho, hadi promosheni maalum za kasino. Lakini sasa wamepiga hatua zaidi kwa kuwakumbuka wapenzi wa Win&Go kupitia ofa hii kabambe inayorejesha sehemu ya dau ulilopoteza, ili kila mchezaji awe na nafasi endelevu ya kufurahia mchezo bila hofu.
Kwa wachezaji wapya na wale wenye uzoefu, huu ni wakati wako wa kung’ara. Jisajili sasa na Meridianbet, cheza Win&Go, na uanze kuvuna ushindi, bonasi, na heshima kutoka kwa kampuni inayoongoza michezo ya kubashiri na kasino mtandaoni nchini Tanzania.
The post MERIDIANBET KUKUPA NAFASI YA KUZALISHA SEHEMU YA PESA YAKO NA 10% CASHBACK… appeared first on Soka La Bongo.