ZA NDANINDANI KUNA MABADILIKO JANGWANI!
Baada ya kutambulishwa kwa benchi jipya la ufundi, Patrick Mubedi sasa amepandishwa kuwa Mkurugenzi wa Ufundi wa Yanga SC 💚💛
Atasimamia timu zote za Yanga, huku akiendelea kuwa standby kwa lolote litalotokea — ambapo anaweza kushuka tena kama Kocha Mkuu endapo itahitajika. ⚽💼
​Â







