Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipotoa tamko kuhusu Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kupunguza Madhara ya Maafa, kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, Oktoba 13, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete akitoa taarifa mbele ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuhusu maandalizi ya Maadhimisho ya Kilelele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, Oktoba 13, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akiwaaga viongozi na wananchi baada ya kupokea taarifa na kukagua maandalizi ya Maadhimisho ya Kilelele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, Oktoba 13, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)