0 Comment
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), Hemed Challe, amesema kuelekea uchaguzi wa kura za maoni ndani ya Chama cha Mapinduzi ni jambo la kawaida kuwa na makundi tofauti tofauti ya wanaowania nafasi mbalimbali, lakini baada ya mchakato huo ni lazima wanachama wote waungane na kuwa kitu kimoja kwa ajili ya maslahi ya chama... Read More